Thursday, 1 June 2017

Aina 7 za juisi zenye kuondoa sumu mwiliniSumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoasumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa nanayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-


1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.

2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.

3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.

4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera

5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango

6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi

7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry

Kwa maelezo zaidi kuhusu uandaaji wake wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment