Saturday, 3 June 2017

Fahamu faida za mchanganyiko wa ndizi & viazi kiafya

Ugonjwa wa vidonda vya tumbo huibuka baada ya kutokea vidonda kwenye kuta za utumbo wa mwanadamu ambavyo hutokana na kuzidi kwa kiwango cha tindikali yenye kazi ya kuyeyusha chakula kiingiacho mwilini.

Leo Jumamosi msomaji wangu naomba kukueleza kuhusu mchanganyiko wa viazi mviringo na ndizi unavyoweza kumsaidia mtu mwenye shida ya vidonda vya tumbo.

Unachopaswa kufanya ni kupata ndizi mbivu pamoja na viazi mviringo kadhaa kisha vioshe vyema na baadaye utachanganya mchanganyiko vizuri halafu utatumia glasi moja ya kinywaji hicho kutwa mara tatu.

Kwa msaada zaidi kuhusu namna fasaha ya kuuandaa mchanganyiko huu usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment