Wednesday, 21 June 2017

Fahamu kuhusu faida za chai ya kijaniChai ya kijani ni moja ya chai afya ambayo husaidia kulinda afya za wanadamu kutokana na kinywaji hicho kutokuwa na cholesterol

Miongoni mwa faida za chai ya kijani ni pamoja na kusaidia kuboresha afya ya ngozi na kuifanya kutokuchana au kuzeeka mapema.

Pia chai ya kijani inauwezo wa kuilinda ngozi dhidi ya miale mikali ya jua inayofika moja kwa moja kwenye ngozi.

Pamoja na kuwapo kwa faida hizo za chai ya kijani inaelezwa kuwa si vyema kutumia chai hii kwa kuchanganya na maziwa kwani huenda kuuwa nguvu yake na hivyo kushindwa kupata manufaa zaidi ya chai hiyo.

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment