Tuesday, 6 June 2017

Hizi hapa aina 6 ya viungo vyenye uwezo wa kutoa ahueni kwa wenye kisukari


Ugonjwa wa kisukari ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza, ambayo husababishwa baada ya kongosho kushindwa kutengeneza 'insulin' ya kutosha ndani ya mwili.

Insulin ni homoni ambayo kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Sasa leo naomba nikupatie msomaji wangu hii orodha ya viungo vyenye uwezo wa kuwasaidia wale wenye shida ya kisukari.

1. Mdalasini

2. Uwatu

3. Tangawizi

4. Binzari/ manjano

5. Kitunguu swaumu.

6. Karafuu

Viungo hivyo vikiandaliwa inavyopaswa huweza kutoa ahueni kwa wale wenye shida ya kisukari na kuwapatia nafuu ya tatizo hilo.

Kama ungependa kufahamu namna sahihi ya uandaaji wake wa kila aina ya kiungo hapo juu wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment