Thursday, 22 June 2017

Je, unazijua athari za kukosa usingizi? zipo hapa 5

Kulala ni jambo muhimu kwa binadamu yeyote na kwa kawaida mtumzima anatakiwa kulala saa7 hadi 8 kwa usiku mzima.

Hata hivyo, wapo baadhi ya watu kutokana na sababu mbalimbali hujikuta wakikosa usingizi.

Sasa leo ninazo baadhi ya madhara ambayo huchangiwa na kukosa usingizi

1. Kuhisi uchovu wa mwili au mwili kukosa nguvu.

2. Kuwa na hasira bila sababu za msingi.

3. Kufanya maamuzi ya hovyo.

4. Kupoteza kumbukumbu na kusahau sahau.

5. Kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam wa lishe Ndug: Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment