Tuesday, 6 June 2017

Je, wanawake mnaijua hii kazi nyingine ya limao? jifunze hapa


Moja ya mambo ambayo huchanga kuharibu afya ya nywele ni pamoja na tatizo la mba ambalo huchangia pia mhusika kupata muwasho wa kichwa wa hapa na pale.

Sasa leo naomba nikupatie hii mbinu asili ambayo huweza kusaidia kumaliza haraka tatizo la mba

Tumia juisi ya limao

Namna ya kufanya utatakiwa kutafuta malimao mawili makubwa kisha kamua kwenye kikombe cha chai chenye maji. Kisha tumia maji hayo yenye mchanganyiko wa limao kwa kuweka kichwani na uchanganye vizuri kisha acha kwa dakika 5 hadi 10 kabla ya kuosha nywele zako.

Fanya zoezi hilo kutwa mara mwili ndani ya wiki mbili mfululuzo na utaona mabadiliko

Kama ungependa kufahamu namna sahihi ya matumizi yake ya juisi ya limao kwa kuwa na nywele bora wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment