Monday, 19 June 2017

Kazi 8 za juisi ya ukwaju mwilini mwako

1. Husaidia katika myeyusho wa chakula na mmen’genyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa

2. Juisi yake ni chanzo kizuri cha Vitamini B na C

3. Husaidia kuulinda mwili dhidi magonjwa kama mafua na kero za mafua kooni

4. Husaidia kurahisisha choo kwa wale wenye matatizo ya kupata choo

5. Chanzo kizuri cha viua sumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)

6. Husaidia kushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo

7. Hupunguza wingi wa lehemu mwilini (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo

8. Husaidia kuwa na ngozi nzuri na nyororo.

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment