Saturday, 3 June 2017

Kazi ya juisi ya kiazi mviringo mwilini

Mara nyingi tumekuwa tukitumia viazi mviringo kama chakula ambacho huweza kupikwa au kutengenezwa kwa namna mbalimbali kutokana na uhitaji wa mhusika.

Mtaalam Abdallah Mandai anasema kuwa, viazi hivyo vikipondwa na kubandikwa juu ya tatizo lolote la ngozi au bawasira huwa njia ya kupunguza madhara ya matatizo hayo.

Aidha, juisi ya kiazi kilichopondwa ni nzuri kwa  watu wenye matatizo kama baridi yabisi, vidonda vya tumbo, asidi ya tumboni.

Hali kadhalika, kiazi pia ni ‘tonic’ nzuri sana ya ngozi, kinachotakiwa kufanyika katika hili ni kunawia juisi yake na machicha yake utayabandika kila mahali juu ya ngozi na itasaidia kuondoa makunyanzi yote ya uzee pamoja na kulainisha ngozi.

Ni vyema kupata maelezo ya kina zaidi kutoka kwetu kabla ya kuanza kutumia matumia njia hii wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment