Monday, 5 June 2017

Mambo 6 yanayopatikana kwa kunywa juisi ya pera pekee

Karibu leo tuizifahhamu faida za juisi ya mapera kiafya kama ifuatavyo:-

1. Husaidia kupunguza sumu mwilini (cholesterol) 

2. Ni nzuri kwa wale wenye shinikizo la damu

3. Juisi hii ni nzuri pia kwa wenye shida ya kukosa choo.

4. Juisi hii imesheheni vitamin C, hivyo ni nzuri kwa wenye mafua na kikohozi

5. Ni juisi yenye msaada kwa wenye tatizo la kuharisha

6. Mbali na hayo, pia ni juisi nzuri kwa afya ya mifupa

Kama utahitaji maelekezo zaidi kutoka kwetu basi usipate shida unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

1 comment: