Wednesday, 7 June 2017

Matunda 3 yenye kiwango kikubwa zaidi cha maji

Matunda ni moja ya vitu muhimu sana katika miili yetu kutokana na kuwa na virutubisho mbalimbali ambavyo vinahitajika sana ndani ya mwili.

Hata hivyo, ili kuvipata virutubisho hivyo muhimu kupitia matunda ni lazima mhusika apate matunda ambayo yapo fresh yaani mazuri.

Miongoni mwa kazi nyingine ya matunda ni pamoja na kuongeza maji mwilini hasa mhusika atakapokula matunda yenye asili ya maji mengi na hivyo kuifanya ngozi kuonekana vizuri.

Ifuatayo ni orodha ya matunda yanayosifika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha maji ndani yake.

1. Nanasi

2. Tikiti Maji

3. Chungwa

Kwa ufafanuzi zaidi usisite kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment