Saturday, 10 June 2017

Mchanganyiko wenye vitu 5 ambao huongeza nguvu & afya ya mifupa


Mwili kuwa imara na nguvu ni moja ya ya mambo ambayo hutegemea na ulaji wa mhusika

Miongoni mwa vitu muhimu ni pamoja na kuwa na mifupa imara na yenye nguvu ambayo pia hutokana na ulaji mzuri wa mhusika.

Hapa ninazo faida za juisi ambazo husaidia kuimarisha afya mifupa na kuungezea mwili nguvu

1. Juisi ya tango
Hii ni juisi ilisheheni vitamin A, B na C pamoja na madini ya calcium, magnesium  phosphorus and potassium kwa ujumla wake vyote huusaidia mwili kuimarisha mifupa na kuupatia nguvu pia.

Juisi ya maaple ya kijani
Hii nayo inasifika kwa kuboresha afya miili yetu ikiwa ni pamoja na kujenga uimara wa mifupa na kuimarisha kinga za mwili.

3. Juisi ya chungwa
Chungwa nalo linaingia hapa kutokana na kuwa na vitaminc C ya kutosha ndani yake

4. Tangawizi
Hiki kiungo kimekuwa kikifanya vizuri kwenye suala la kutuliza maumivu, hivyo hufaa zaidi kuimarisha afya ya mifupa.

5. Juisi ya mbogamboga (spinachi)
Hii ni chanzo kizuri cha vitamin K, ambayo huenda kuimarisha seli zenye uwezo wa kujenga mifupa.

Zingatia
Vitu vyote hivyo vitano nilivyoainisha hapo juu, vinahitajika kuwa katika mchanganyiko mmoja wa pamoja, HIvyo kama unapenda kujua namna ya kuchanganya vyote hivyo kwa pamoja ili kupata matokeo mazuri mpigie Mtaalam Mandai kwa simu nanmba +255 716 300 200/ +255 784 300 300/ +255 784 300 300.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment