Saturday, 3 June 2017

Mfungo bado unaendelea, karibu leo tuzifahamu faida nyingine za kufunga


Ukweli ni kwamba bado mfungo unaendelea, lakini kuna baadhi ya watu ambao bado hawajaanza kufunga.

Sasa hapa leo nimeona tukumbushane zaidi kuhusu faida za funga.

Miongoni mwa faida za funga ni pamoja na kuusaidia mwili kijisafisha wenyewe kwa kutoa sumu mwilini (Detoxification).

Faida nyingine ni pale ambapo funga inaelezwa kuboresha mfumo wa usagaji chakula pamoja na mfumo wa kinga ya mwili.

Vile vile kipindi hiki cha mfungo huusaidia mwili kufanya ukarabati wa seli zilizoathirika huko nyuma, huweza kutengenezwa upya na kuwa imara zaidi.

Mbali na hayo, funga pia humsaidia mhusika anayefunga, mwili wake kuimarika na kumsaidia kuishi maisha yenye afya zaidi.

Kwa maelezo zaidi  wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment