Friday, 30 June 2017

Njia 2 za asili za kumsaidia mtu anayetokwa na damu puani


Matukio ya kutoka damu puani mara nyingi hujitokeza kwa baadhi ya watu , tatizo hili mara nyingi husababishwa na mipasuko midogo ya mishipa ya damu ndani ya pua inayosababishwa na kujeruhiwa au hali ya msukumo wa juu wa hewa , mzio (allergies) wakati mwingine huwa ni madhara yatokanayo na madawa.

Kwa ujumla tatizo hili huwa halina maelezo kamili ya chanzo chake, lakini watu wenye msukumo wa juu na wa chini wa damu huwa na nafasi kubwa ya kupata tatizo hili.

Moja ya njia ya kupunguza madhara ya tatizo hilo ni pamoja na juisi ya chungwa, hii ni kutokana na chungwa kuwa na vitamin C kwa wingi ambayo husaidia kujenga 'collagen'  ambayo husaidia kutengeneza unyevu ndani ya pua.

Aidha, pia kitunguu maji kinaweza kutumika kutoa ahueni kwa wenye shida ya kutokwa na damu puani.

Kwa msaada zaidi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment