Monday, 5 June 2017

Njia 2 za kumsaidia mtu mwenye shida ya sikio linalotoa usaha


Sikio kutoa uchafu ni moja ya tatizo ambalo huweza kumtokea mtu yoyote na mara nyingi tatizo hili limekuwa likiwakosea raha sana wale wanaokumbwa na shida hii.

Leo naomba kukwambia hizi mbinu 2 za kusaidia kumaliza tatizo la sikio linalotoa uchafu (usaha)

1. Kwanza unaweza kutumia maziwa ya mama anayenyonyesha

Hakikisha unapata maziwa hayo ya mama anayenyonyesha kisha weka matone mawili hadi matatu kwenye sikio lenye tatizo.

Fanya zoezi hilo kwa siku kadhaa kutwa mara mbili na utaona mabadiliko (nafuu)

Kitunguu swaumu
Saga kitunguu swaumu kisha upate angalau matone mawili hadi matatu na kuweka kwenye sikio lilioathirika kisha inamaa upande wenye sikio lenye shida kwa dakika 5 ili kupisha matone hayo kusambaa vizuri sikioni.

Fanya zoezi hilo kwa siku kadhaa hadi pale uonapo nafuu

Zingatia
Ni vyema kutupigia simu kabla ya kuanza kutumia njia yoyote kati ya hizo ili kupata ufafanuzi mzuri zaidi na wa kina kuhusu njia hizo. Tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com 

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment