Tuesday, 20 June 2017

Njia 4 za kudumisha uzito unaofaa kiafya

Uzito mkubwa si jambo rafiki kwa afya zetu wanadamu kwani huweza kuwa chanzo cha matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na magonjwa yasiyoambukiza.

Kuna njia muafaka ambazo unaweza kufanya ili kudumisha uzito wa mwili ambao unaofaa.

Zifuatazo ni njia hizo za kudumisha uzito wa mwili unaofaa.

1. Kupunguza jinsi unavyokula hasa vyakula vya mafuta na sukari

2. Kupunguza kiasi cha chakula 

3. Kuepuka kula tu mradi umeshiba bali kula kwa kuzingatia afya zaidi

4.  Kuongeza kufanya mazoezi ya mwili

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment