Friday, 23 June 2017

Njia 5 za asili kujikinga na maumivu ya mifupa

Afya ya mifupa hutegemea sana uwepo wa madini ambayo hutumika mwilini na kurejeshwa ili kuufanya mfupa kuwa imara na kuujenga.

Lakini endapo madini hayi yatatumika zaidi kuliko kurejeshwa katika mifupa hali ambayo huweza kutokea ni mifupa kudhoofika na kukosa uimara na hupunguza uzito.

Zifuatazo ni njia 5 za kulinda afya ya mifupa yako

1. Zingatia ulaji mzuri hasa utotoni

2. Epuka matibabu yahusuyo matumizi ya kemikali

3. Pendelea ulaji mzuri wa vyakula vya asili vyenye madini yakutosha na muhimu yanayo jenga mifupa.

4. Acha au punguza matumizi ya pombe

5. Fanya mazoezi ya kutosha na kunywa maji mengi ya kutosha

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam wa lishe Ndug: Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment