Thursday, 29 June 2017

Njia nne asili za kuzuia nywele kukatika hovyo


Wanawake wengi wamekuwa wakihangaika katika kuhakikisha kuwa wanatunza nywele zao dhidi ya matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa na mba au kukatika kwa nywele jambo ambalo limekuwa likiwagharimu pesa pia.

Leo ninazo njia 5 za asili zinazoweza kusaidia nywele zisikatike hovyo.

1. Matumizi ya kitunguu maji

2. Matumizi ya mafuta ya mzaituni.

3. Mafuta ya nazi

4. Matumizi ya kitunguu swaumu

Njia zote hizo huweza kusaidia kuzuia nywele kukatika unachopaswa kufanya ni kuchagua njia mojawapo kati ya hizo 4 kisha tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment