Saturday, 10 June 2017

Sababu 5 ambazo huchangia mtoto kulia

Picha kwa msaada wa mtandao
Sababu zipo kadhaa ambazo huweza kuchangia mtoto kulia na si vyema kupuuza pale unaposikia mtoto analia kwani anapolia huwa anajalibu kutuma ujumbe kwa watu wake wa karibu.

Sasa hapa ninayo orodha ya mambo ambayo huchangia mtoto kulia.

1. Mtoto kuhisi njaa.

2. Mtoto kuchoka

3. Mtoto kuhisi baridi au joto.

4. Kama amejisaidia mtoto huweza kulia akiashiria kubadilishwa nguo.

5. Kipindi cha uotaji wa meno.

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment