Friday, 9 June 2017

Sababu 5 zinazosababisha kupungua uzito wa mwili ghafla


Je, kuna wakati umejikuta ghafla ukipoteza uzito mkubwa kwa mara moja bila kujua sababu ya hali hiyo.

Sasa leo ninayo orodha ya mambo ambayo huweza kuchangia mtu kupoteza uzito kwa kiasi kikubwa na ghafla.

1. Vidonda vya tumbo

2. Huzuni/ msongo wa mawazo

3. Ugonjwa wa kifua kikuu (TB)

4. Matatizo ya virusi vya Ukimwi (HIV)

5. Saratani.

Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment