Friday, 23 June 2017

Sababu 5 zinazoweza kusababisha damu ya period kuwa nyeusi & mabonge


Kwa kawaida mwanamke huingia kwenye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3 mpaka 7. Katika kipindi hiki mwanamke hutoa damu kwa wastani kwa siku.

Lakini kuna baadhi ya wanawake wanapokuwa katika hali hiyo hujikuta wakitokwa na  damu zenye mabonge na wakati mwingine kuwa nyeusi.

Sababu zifuatazo zinaweza kuchangia tatizo hilo

1. Dalili za maambukizi katika via vya uzazi

2. Dalili za uwepo wa uvimbe kwenye ukuta wa mji wa uzazi.

3. Mara nyingine huwa ni dalili za kutoka kwa mimba. (kama mama alikuwa mjamzito)

4. Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango (japo si mara zote na si kwa kila mwanamke)

5. Dalili za saratani katika ukuta wa mji wa uzazi.

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam wa lishe Ndug: Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku


No comments:

Post a Comment