Friday, 23 June 2017

Sababu 6 zitakazochangia upate fangasi sehemu za siri

Fangasi sehemu za siri husababishwa na fangasi aina ya 'Candida Albanians.'  ni kati ya magonjwa ambayo husumbua zaidi wanawake mara kwa mara.

Njia ambazo huweza kuchangia maambukizi ya fangasi sehemu za siri

1. Matumizi ya vyoo vichafu

2. Kuchangia nguo za ndani na taulo

3. Watu wenye kisukari huwa na uwezekano mkubwa wa kusumbuliwa zaidi na tatizo hili

4. Kuvaa mavazi yanayobana sana na kutoruhusu hewa sehemu za siri

5. Matumizi ya antibiotics kwa muda mrefu

6. Kushiriki ngono nzembe

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam wa lishe Ndug: Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment