Wednesday, 14 June 2017

Tabia 6 zinazochangia ngozi yako kuwa na mikunjo


Afya ya ngozi huhitaji umakini mkubwa katika kuendelea kubaki na muonekano mzuri, lakini leo nataka kukwambia baadhi ya tabia ambazo huchangia kuharibu kwa ngozi yako na kuwa na mikunjo.

1. Unywaji wa vileo kupita kiasi

2. Uvutaji wa sigara uliokithiri

3. Kutopata mwanga wa jua

4. Kulala na make up usiku

5. Kutokunywa maji ya kutosha

6. Kuoga maji ya moto kwa muda mrefu

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment