Wednesday, 14 June 2017

Ukipatwa na jeraha tumia vitu hivi 3 asili vitakusaidia

Je, ni mara ngapi umewahi kujikata na chupa? au mtoto wako wakati akicheza bahati mbaya akajikuta amekatwa na chupa, je nini ulifanya kumsaidia?

Sasa basi leo nataka kukueleza baadhi ya mambo ya kufanya endapo utakatwa na chupa ikiwa kama huduma ya kwanza.

1. Kitunguu saumu
Kwanza utachukua kitunguu swaumu na kukisaga kisha changanya na asali kidogo halafu tumia mchanganyiko huo kupaka sehemu ya jeraha lililotokana na kujikata na chupa. Kisha baada ya dakika 5 au 10 ondoa mchanganyiko huo kwenye jeraha na kunawa na maji ya uvuguvugu sehemu ya jeraha.

Fanya zoezi hilo angalau mara mbili kwa siku na utaona matokeo mazuri pasipo shida yoyote.

2. Alovera
Andaa mualovera kisha kata na kupata maji yake halafu tumia mchanganyiko huo kwa kuweka sehemu yenye jeraha na utaona matokeo mazuri mara tu baada ya kutumia mualovera huo.

3. Asali

Nayo ni njia nzuri na bora ya kumaliza tatizo kujika kwa na chupa.

Baada ya kuzifahamu njia hizo lakini kumbuka kuwa unashauriwa kufika kwenye kituo cha afya kwa msaada zaidi unapoona jeraha bado linaendela kutoa damu.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment