Thursday, 1 June 2017

Vitu 3 muhimu unavyopaswa kuvijua kuhusu tango


Matango si ya kula tu bali huweza kutumika kufanya ngozi yako iwe nzuri na yenye afya, lakini ni vyema ifahamike kuwa zipo kazi mbalimbali za tango katika miili yetu.

Lakini leo nataka nikueleze msomaji wangu kuhusu kazi 3 za tango.'

1. Kuondoa tatizo la weusi chini ya macho
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua kipande cha tango na kuweka kwenye macho kwa dakika 20

2, Huondoa madoa usoni
Unachotakiwa kufanya ni kusaga tango kisha paka sehemu zenye madoa kwa siku kadhaa hadi pale utakapoona mabadiliko

3. Huondoa upele usoni
Kama unatatizo la vipele usoni na wewe unaweza kusaga na kutumia kwa kupaka usoni au kwenye vipele mchanganyiko huo

Zingatia

Kama ungependa kutuuliza maswali zaidi kuhusu mada hii na hata masuala mengine mengi kuhusu mimea tiba, matunda na lishe bora kwa ujumla wake basi tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment