Friday, 30 June 2017

Vitu 3 vinavyoweza kukuokoa kama unatatizo la kuhara


Kuharisha ni ugonjwa ambao husababishwa na vimelea (bacteria) ambao huenezwa na hali ya uchafu (inzi).

Hapa ninayo orodha ya vitu amabvyo ukitumia vitakusaidia kuliweka tumbo lako sawa na kukufanya kukata kuharisha kama ulikuwa unaendesha.

1. Kunywa juisi ya komamanga
Juisi hii ni nzuri kwa wenye matatizo haya ya kuharisha hivyo unaweza kupata glasi moja ya juisi hii unapopatwa na tatizo la kuhara.

2. Tangawizi
Kama tatizo la kuhara litakuwa limechangiwa na mmeng'enyo mbovu wa chakula hii huweza kusaidia kutuliza  hali ya kuhara endapo mhusika anasumbuliwa na shida hiyo.

3.Ulaji wa vyakula vyenye nyuzinyuzi
Unapokuwa na shida ya kuhara unaweza kutumia zaidi vyakula vyenye asili ya nyuzinyuzi kama vile viazi nk

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment