Thursday, 1 June 2017

Vitu 5 muhimu vinavyopatikana ndani ya unga wa ubuyu

Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.

Vifuatavyo ni miongoni mwa vitu ambavyo hupatikana ndani ya unga wa ubuyu:-

1. Kuna nyuzi nyuzi (fiber)

2. Vitamin C

3. Madini ya Calcium

4.  Madini ya chuma

5. Madini ya potassium na magnesium

Kwa maelezo zaidi kuhusu uandaaji wake wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment