Wednesday, 7 June 2017

Viungo 5 pekee vyenye uwezo wa kuwasaidie wenye pumu

Habari za leo Jumatano msomaji wangu wa www.dkmandai.com karibu tuendelee kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu afya, mimea tiba, matunda na lishe bora kwa ujumla.

Kwa sasa naomba kukwambia kidogo kuhusu Pumu.

Hili ni tatizo la kupumua ambalo mara nyingi huwapata watoto, lakini pia hata kwa baadhi ya watu wazima kutokana na husababishwa na hitilafu mbalimbali katika mfumo wa kupumua.

Pumu huweza kusababishwa na kuvimba kwa kingo za mirija ya kuvuta hewa, matatizo ya mzio (allergy), matatizo ya uyeyushaji wa chakula ndani ya tumbo pamoja na matatizo ya kisaikolojia.

Mara nyingi tiba ya pumu huwa hailengi katika kuponya kabisa, ila husaidai kufifisha nguvu ya mashambulio ya pumu pale yanapotokea.

Nimekuandalia orodha ya viungo ambavyo huweza kutoa ahueni kwa watu wenye shida ya pumu.

1. Tangawizi

2. Manjano

3. Majani ya mchai chai

4. Kitunguu swaumu

5. Karafuu.

Je, ungependa kujua namna ya kuandaa mojawapo ya kiungo hapo ili kikusaidia kwa tatizo la pumu? kama jibu ni ndio basi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 nasi tutakuelekeza namna sahihi ya kutumia viungo hivyo. Karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment