Saturday, 17 June 2017

Vyakula vitano ambavyo hutakiwi kula kama unaipenda afya yako


Ubora wa afya ya mtu hutegemeana sana na namna mhusika anavyoishi pamoja na ulaji wake kwa ujumla.

Uzuri hakuna binadamu mwenye akili timamu anayependa kuwa na afya dhaifu kama na wewe ni miongoni kati ya wale wapenzi wa kuwa na afya bora naomba zingatia haya mambo yafuatayo.

1. Kwanza punguza unywaji wa vinjwaji vyenye sukari nyingi.

2. Epuka ulaji wa vyakula vinavyoandaliwa viwandani.

3. Jitahidi kupunguza matumizi ya ulaji wa nyama nyekundu

4. Epuka au punguza matumizi ya vyakula vinavyoandaliwa kwa mafuta mengi. Mfano chipsi.

5. Vyakula vya fast food kama vile baga si vyema kula kila siku.

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment