Wednesday, 7 June 2017

Vyakula vya kuepuka kama unatatizo la maumivu ya mifupa (joint pain)Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo ya maumivu kwenye sehemu mbalimbali za maungio ya miili yao yaani joint.

Tatizo hili huweza kumkuta mtu yoyote kwenye maisha yake na humfanya mhusika kukosa raha pia.

Sasa leo naomba kukupatia hizi aina 3 ya vitu ambavyo unapaswa kuepuka endapo unasumbuliwa na shida hiyo ya kupatwa na maumivu ya viungo.

1. Acha au punguza matumizi ya nyama nyekundu.

2. Epuka matumizi ya vileo.

3. Epuka kutumia chumvi ya kuungia mezani 'table salt'

4. Ikibidi unaweza kuacha kula mkate miepu na kutumia brown bread.

Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment