Friday, 16 June 2017

Zifahamu aina za vyakula vinavyoongeza uhodari kwa wanaumeVyakula jamii ya nafaka ni miongoni mwa vyakula ambavyo vimejaa nishati nyingi ikiwa ni pamoja na nyuzinyuzi na sukari. Hivyo unaweza kuweka kwenye orodha ya vyakula anavyopaswa kula mwanaume.

Nafaka husaidia kuzalisha homoni ya testosterone kwenye damu hivyo kumuwezesha mtu kuwa na nguvu na hivyo kuepuka tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Ulaji wa vyakula vya nafaka visivyokobolewa ni muhimu zaidi kwani husaidia kutokupa mwili wa mafuta mengi kwani mafuta mengi ndani ya mwili huweza kuchangia kuharibu mishipa ya damu ikiwamo mishipa uume.

Moja ya viungo muhimu kwa wanaume ni pamoja na tangawizi ambayo husaidia kusisimua mfumo wa mzunguko wa damu mwilini ieleweke kwamba mzunguko wa damu unapokuwa vizuri ndani ya mwili husaidia hata damu kwenda vizuri sehemu za viungo vya uzazi pia (uume).

Aidha, ulaji wa karanga ni muhimu pia kwani ndani ya karanga kuna madini ya magnesium,zinc ambayo ni muhimu sana katika uzalishaji wa mbegu za kiume pamoja na kuamsha hisia za tendo la ndoa.

Pia matumizi ya tunda la komamanga huweza kumsaidia mwanaume kujenga afya ya kimahusiano kutokana na tunda hilo kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na hivyo kumuongezea mtu uwezo wa kushiriki tendo hilo.

Kama utahitaji maelezo zaidi kuhusu mada hii naomba wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment