Friday, 9 June 2017

Zifahamu faida 5 za kutumia maji ya uvuguvugu


Kunywa maji yenye joto au ya uvuguvugu sio kazi rahisi sana kutokana na kuwa na ugumu wake katika umezaji wake tofauti na yale ya baridi.

Leo naomba tuzifahamu faida 5 nyingine za kunywa maji ya uvuguvugu  kiafya.

1. Husaidia kuboresha mfumo wa umeng'enyaji wa chakula

2, Hupunguza athari za tatizo la ukosefu wa choo

3. Husaidia kupunguza sumu mwilini yaani cholesterol.

4. Hupunguza maumivu na maudhi ya wakatiwa mzunguko kwa wanawake (period)

5. Huimarisha mzunguko wa damu ndani ya mwili.

Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment