Saturday, 1 July 2017

Aina 5 ya viungo vyenye uwezo wa kupunguza unene/ uzito wa mwili

Kuna mambo mengi yanayoweza kuchangia mtu akawa mnene, lakini sababu nyingi husababishwa na mtindo wa maisha ikiwemo vyakula tunavyokula.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kutofanya mazoezi, kula vyakula vingi vyenye sukari na vyakula vyenye wanga, lakini baadhi yao huwa wanene kwasababu za kurithi.

Leo ninavyo viungo vinavyoweza kusaidia kupunguza uzito au unene kwa baadhi ya watu.

1. Tangawizi

2. Karafuu

3. Manjano / binzari.

4. Mdalasinin

5. Pilipili manga

ZINGATIA
Ili kufahamu namna nzuri ya kuandaa viungo hivyo ili vikusaidie kwenye kupunguza hali ya unene unaweza kuongea na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment