Thursday, 6 July 2017

Aina 5 za juisi kwa wanaotamani kupunguza uzito wao

Baadhi ya watu hasa wanawake wamekuwa wakikwazwa na tatizo la kuwa na uzito mkubwa (unene) na hata kufikia hatua ya kuichukia miili yao.

Hata hivyo, zipo mbinu mbalimbali za kupunguza uzito zikiwemo za kubadili mtindo wa ulaji ufanyaji mazoezi n.k.

Lakini leo naomba nikwambie kuhusu hizi aina 5 za juisi ambazo zinaweza kusaidia kupunguza uzito.

1. Juisi ya mchanganyiko wa tango na nanasi

2. Juisi ya mchanganyiko wa nyanya na karoti

3. Juisi ya mchanganyiko wa tango na nyanya

4. Juisi ya mchanganyiko wa tufaa (apple) na spinachi

5. Juisi ya mchanganyiko wa limao na tikitimaji

Kwa ushauri na ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment