Monday, 17 July 2017

Aina za juisi rafiki kwa wenye kisukari

blood sugar
Ugonjwa wa kisukari ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza, ambayo husababishwa baada ya kongosho kushindwa kutengeneza 'insulin' ya kutosha ndani ya mwili.

Insulin ni homoni ambayo kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Sasa leo naomba nikwambie msomaji aina ya juisi ambayo hufaa kwa watu wenye tatizo la kisukari

1. Juisi yaney mchanganyiko wa ndizi, apple na kabeji
Mchanganyiko huo husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye damu pamoa na kusaidia kuondoa tatizo la ukosefu wa choo ambalo mara nyingi huwasumbua watu wenye sukari.

2. Spinachi na tufaa/ apple
Hii ni juisi rafiki kwa wenye shida ya kisukari, lakini pia hata wale wenye shida ya shinikizo la juu la damu.

3. Mchanganyiko wa strawberry na nanasi
Matumizi ya juisi hii nayo husaiida kushusha kiwango cha sukari kwenye damu, lakini pia ni juisi nzuri kwani husaidia kupunguza sumu mwilini.

Unaweza kupata ushauri zaidi kutoka kwetu kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

1 comment: