Friday, 28 July 2017

Dalili za magonjwa hatarishi kwa wanawake


Habari za leo mdau wa www.dkmandai.com, leo nimeona ni vizuri tufahamishane kuhusu dalili za magonjwa yanayoene kwa njia ya ngono

Kwa kuanza kwa sasa tutaanza na dalili ambazo hujitokeza kwa wanawake mara wanapopatwa na maambukizi haya:

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake / wasichana ni pamoja na:

- Kutokwa na ute usio wa kawaida ndani ya uke

- Maumivu ya chini ya tumbo.

- Kuhisi maumivu makali wakati wa kupata haja ndogo (mkojo.)

- Maumivu wakati wa kufanya kujamiana

- Kutoka damu ukeni isiyo ya kawaida

- Kuwashwa sehemu za siri

- Kupata uvimbe usio wa kawaida ukeni au katika sehemu za siri

- Jeraha, kidonda katika sehemu za siri

- Vipele, ikiwa ni pamoja vipele katika kiganja cha mkono na nyayo za miguu.

Kama utakuwa umeona dalili kama hizo basi ni vizuri ukawasiliana na Mtaalam Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment