Friday, 28 July 2017

Faida 6 za majani ya mpera

1.Chai ya majani ya mpera pia husaidia kushusha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia mwili kuondoa insulini hivyo wagonjwa wa sukari wanashauriwa kuitumia mara kwa mara

2.Chai ya majani ya mpera hupunguza lehemu mbaya mwilini bila kudhuru lehemu nzuri

3.Chai ya majani ya mpera ina uwezo wa kudhibiti vijidudu vya magonjwa mwilini hasa vinavyosababisha magonjwa ya kuharisha .

4.Chai ya majani ya mpera hutuliza mchafuko wa tumbo na husaidia kukabiliana na madhara yaletwayo na sumu za vyakula mbalimbali vya kila siku

5.Chai ya majani ya mpera hutuliza matatizo ya pumzi na kukohoa

6. Majani ya mpera husaidia kushusha hali ya homa pia

Kama utapenda kujua namna nzuri ya kuyaandaa majani hayo ya mpera basi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment