Saturday, 8 July 2017

Fanya mambo haya 5 kama huwa unaamka na uchovu

Ni wazi kwamba kuna wakati huwa tunajikuta tumezongwa na uchovu sana huenda kutokana na shughuli zetu za kimaisha na hasa zile za kujiongezea kipato.

Miongoni mwa dalili za tatizo hili la uchovu ni pamoja na kupatwa na maumivu ya misuli, kukosa hamasa ya kufanya kitu chochote, kupoteza umakini na hata kupotea kwa hamu ya kula pia.

Lakini hakuna mtu anayependa kuishi akiwa mchovu wa mwili siku zote, kutokana na hali hiyo hapa napenda kukufahamisha baadhi ya mambo ambayo huwezo kukuondoa katika hali hiyo ya uchovu wa mwili.

1. Kufanya mazoezi

2. Kunywa maji ya kutosha

3. Kula mlo kamili

4. Kuhakikisha unauzito unaostahili

5. Kulala mapema usiku

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment