Thursday, 20 July 2017

Juisi ya mua inavyoweza kutoa ahueni kwa mwenye U.T.I

Benefits Of Sugarcane Juice
Ugonjwa wa UTI kitaalamu huitwa “Urinary Tract Infection” ni ugonjwa ambao huathiri mfumo wa kutengeneza na kutoa mkojo nje ya mwili.

Maambukizi ya mfumo huu wa mkojo yasipopata tiba haraka huweza kuwa na madhara makubwa zaidi na hata kusababisha kusambaa hadi kwenye figo zako.

Leo naomba nikueleze namna juisi ya mua inavyoweza kutoa ahueni kwa wenye  tatizo la U.T.I

Juisi ya miwa husaidia kulinda afya ya figo na kuzuia matatizo ya njia ya mkojo ikiwa ni pamoja na U.T.I.

Unachotakiwa kufanya ili kunufaika ni kupata juisi ya miwa glasi moja iliyochanganywa na limao  pamoja na maji ya nazi.

Aidha, juisi hii pia husaidia kuongeza kiwango protini mwilini 

Kwa ufafanuzi zaidi tupigie leo kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment