Monday, 10 July 2017

Kazi 10 za mafuta ya mdalasini

Mdalasini ni moja ya kiungo kizuri ambacho hutumika kuongeza ladha nzuri katika kinywaji.

Leo nataka tuzungumzie kuhusu kazi na faida za mafuta ya mdalasini

1.Hutumika kumaliza maambukizi ya fangasi wa miguuni.

2. Hutuliza maumivu ya viungo

3. Husaidia kwenye matatizo ya mfumo wa hewa

4. Huboresha mzunguko wa damu mwilini

5. Hutuliza matatizo koo

6. Hulinda afya ya kinywa

7. Huboresha afya ya nywele

8. Ni mazuri kwa afya ya tumbo

9. Ni mazuri kwa afya ya ngozi.

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment