Monday, 17 July 2017

Mambo manne ya kufanya kama unakikohozi

cough-is-our-defense-system-500x271
Kikohozi kinaweza kusababishwa na kichocheo cha ndani ya koo, mabadiliko ya hewa au majira, kuziba kwa mifereji ya mapafu n.k

Lakini pia hupaswi kujilaumu sana pale unapopatwa na kikohozi kwani ni moja ya njia mojawapo ya mwili kujiimarisha au kujilinda zaidi.

Leo ninavyo vitu vinne ambavyo husaidia kutuliza kikohozi.

1. Supu ya kitunguu maji

2. Asali

3. Chai itokanayo na tunda la mtini (fig tea)

4. Chai yenye mdalasini na tangawizi

Unaweza kupata ushauri zaidi kutoka kwetu kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment