Tuesday, 18 July 2017

Njia 3 asili za kupunguza madhara ya U.T.I

Ugonjwa wa UTI kitaalamu huitwa “Urinary Tract Infection” ni ugonjwa ambao huathiri mfumo wa kutengeneza na kutoa mkojo nje ya mwili. 

Maambukizi ya mfumo huu wa mkojo yasipopata tiba haraka huweza kuwa na madhara makubwa zaidi na hata kusababisha kusambaa hadi kwenye figo zako.

Leo naomba nikueleze hivi vitu kadhaa ambavyo husaidia kutoa ahueni kwa wenye U.T.I

1. Juisi ya kitunguu

2. Maji ya manjano

3. Juisi halisi ya nanasi

Unaweza kupata ushauri zaidi kutoka kwetu kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment