Monday, 10 July 2017

Njia 3 za asili za kuondoa michirizi itokanayo na kubanwa na nguoKuna baadhi ya watu ngozi zao zimetokea kuharibika kutokana na sababu za mavazi fulani fulani hasa nguo za ndani ambazo husababisha michirizi kwenye ngozi.

Michirizi hiyo huweza kusababishwa na kuvaa nguo za ndani zinazobana sana kama vile, sidiria, chupi, sigrendi, boxer kwa wanaume na nguo nyingine zinazofanana na hizo.

Sasa leo ninazo hizi njia tatu za kuondoa michirizi itokanayo na nguo hizo.

1. Njia ya kwanza ni kutumia Juisi ya tango.

Tunda hili linautajiri wa madini na maji ambayo huweza kuondoa au kupunguza michirizi.

2. Tui la Nazi

Maji ya nazi yanafahamika kwa manufaa kwa afya ya ngozi na nywele pia, lakini pia tui la nazi
huweza kuondoa michirizi itokanayo na kubanwa na nguo.

3. Aloe Vera

Hii nayo ni njia ya kusaidia kuondoa michirizi ya ngozi kwa kupaka utomvu wake sehemu iliyoathirika na tatizo hilo.

Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment