Saturday, 1 July 2017

Njia 5 za kuondoa fangasi kwenye miguu


Maambukizi ya fangasi ni moja ya mambo ambayo hupoteza uhalisia wa ngozi ya mhusika ambaye atakuwa amepatwa na tatizo.

Leo ninazo mbinu nyingine za kuweza kutoa ahueni kwa wenye shida ya fangasi hasa za miguuni.

1. Matumizi ya alovera

2. Kitunguu Maji.

3. Kitunguu swaumu.

4. Maji ya limao

5. Maji yenye kuchanganywa na chumvi.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment