Tuesday, 18 July 2017

Sababu 3 kwanini uanze kula bilinganya leo hata kama huzipendi


Bilinganya ni aina ya mbogamboga ambayo inafahamika na watu mbalimbali duniani, lakini si kufahamika tu kutokana na matumizi yake jikoni bali pia kutokana na umuhimu kwenye afya zetu.

Bilinganya inasifika kwa kuwa na utajiri wa kirutubisho kiitwacho 'antioxidants' ambacho husaidia kupunguza kiwango cha 'cholesterol' ndani ya mwili.

Miongoni mwa faida za bilinganya ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Hulinda afya ya moyo.

Mboga hii inautajiri wa  fiber ambayo na madini ya potassium, vitamin C, B ambazo husaidia kupunguza madhara ya mwili.

2.Kupunguza uzito

Mboga hii ni nzuri pia kwa wale wenye malengo ya kupunguza uzito wa mwili na kusaidia kuhamasisha ini kufanya kazi yake vyema.

3.Huimarisha afya ya mifupa

Ulaji wa mboga hii mara kwa mara husaidia kumuondoa muhusika kwenye hatari za kupatwa na matatizo ya maumivu ya misuli na mifupa hasa kwenye joint.

Unaweza kupata ushauri zaidi kutoka kwetu kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment