Monday, 31 July 2017

Sababu 5 za kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

Mwanamke kunawakati huweza hutokwa na majimaji mepesi yenye rangi nyeupe au ya njano katika via vyake vya uzazi.

Kutokwa na majimaji hayo kwa mwanamke huwa si tatizo, lakini tatizo huanza endapo maji hayo yatakuwa ni mazito na yenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali na kuambatana na muwasho.

Wanawake wengi wenye tatizo hili hukosa raha au amani mbele za watu na kujihisi vibaya na kunawakati hupelekea hata akaacha kushiriki tendo la ndoa.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo huweza kuchochea mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri:-

1. Kushiriki ngono holela na watu mbalimbali bila tahadhari

2. Matumizi ya aina fulanifulani ya dawa.

3. Matumizi ya bidhaa zenye  kemikali kusafishia sehemu hizo nyeti

4. Kutozingatia usafi (uchafu)

5. Maambukizi ya bakteria

Huenda utakuwa unasumbuliwa na tatizo hilo au rafiki yako au mwenzi wako kama ni hivyo tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 ili tukupatie ushauri namna nzuri ya kumaliza shida hiyo.

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment