Tuesday, 25 July 2017

Sababu 6 zinazokufanya usipungue uzito licha ya kutumia njia nyingiInawezekana ni mara nyingi umejaribu kupunguza uzito wa mwili wako kwa kutumia njia mbalimbali na bado hujafanikiwa na hujui kwanini umekuwa hufanikiwi.

Sasa leo naomba nikueleze msomaji wangu baadhi ya mambo ambayo huenda yakawa kikwazo kwako katika kukamirisha zoezi lako la kupunguza uzito.

1. Inawezekana hauzingatii umlo unaoamini kuwa unaweza kukusaidia kukutoa katika hali yako ya uzito mkubwa.

2. Inawezekana mlo wako hauna kiwango cha kutosha cha protini

3. Inawezekana bado unaendelea kunywa vinywaji vyenye sukari nyingi.

4. Inawezekana haupati muda wa kulala wa kutosha

5. Inawezekana bado unakula mara kwa mara

6. Bado unakunywa pombe sana

Kwa ushauri zaidi kuhusu lishe tiba unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment