Saturday, 15 July 2017

Vinywaji 5 vitakavyokufanya uendelee kuonekana kijana


Kuna baadhi ya vyakula na vinywaji ambavyo mtumiaji anapovitumia huweza kuwa na manufaa ndani ya mwili ikiwa ni pamoja na kuboresha afya ya ngozi.

Leo nataka kueleza kuhusu vinywaji ambavyo huweza kumsaidia mtu kuonekana kijana au kutozeeka mapema hasa kimuonekano.

1. Juisi ya nyanya

2. Juisi ya biringanya

3. Juisi ya komamanga

4. Juisi ya tikitimaji

5. Kunywa maji zaidi

Unaweza pia kupokea ushauri wa bure kutoka kwetu kuhusu masuala ya lishe bora tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com tupo kwaajili yako karibu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment