Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 26 July 2017

Vitu 5 vitakavyokuongezea hamu ya kula mara dufu


Kukosa hamu ya chakula ni jambo la kisaikolojia na wakati mwingine huweza kuwa jambo la kimwili.

Najua huenda kuna wakati umewahi kujikuta ukikosa hamu kabisa ya kula kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchovu.

Leo naomba nikueleze baadhi ya vyakula vinavyoweza kukuongezea hamu ya kula pale unapokosa hamu ya kula.

1. Tufaa / apple

2. Parachichi

3. Pilipili

4. Mboga za majani

5. Mayai

Kama hutahitaji maelezo zaidi kuhusu mada hii naomba wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment