Saturday, 15 July 2017

Vitu vinne vya kutuliza hali ya kiungulia

Heartburn
Kuhisi kiungulia (heartburn)  ni moja ya matokeo ambayo huchangiwa na kupata mlo mkubwa kwa wakati mmoja

Sasa leo naomba nikwambie msomaji wangu orodha ya vyakula au vinywaji ambavyo huweza kupunguza athari za kiungulia 'heartburn'.

1. Tangawizi
Inaweza kuwa chai yenye tangawizi na kuleta matokeo mazuri.

2. Kachumbari ya mbogamboga

3. Ndizi

4. Tunda aina ya tikitimaji

Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment