Friday, 14 July 2017

Wanawake: Njia asili ya kupunguza tatizo la ukavu sehemu za siriUkavu sehemu ya siri kwa wanawake hili ni tatizo ambalo wnawake kadhaa limeshawakuta, lakini zaidi tatizo hili huwakumba wale wanawake ambao tayari wameshakoma hedhi 'menopause'

Maji maji ukeni ni muhimu kwani husaidia kulinda sehemu hiyo ya siri ya kike na kuifanya kutozongwa na maambukizi ya mara kwa mara, lakini mwanamke mwenye sehemu za siri kavu huweza kupatwa na maudhi kadhaa ikiwa ni pamoja na kuhisi maumivu hata wakati wa tendo la ndoa.

lakini pia tatizo hili la ukavu sehemu za siri huweza kuchangiwa na matumizi ya bidhaa zenye kemikali (sabuni, mafuta) ambayo huweza kuathiri uzalishaji wa maji maji hayo sehemu za siri.

Lakini leo naomba nikwambie moja ya njia asili ya kurejesha maji maji ukeni endapo unatatizo hilo la kukauka kwa maji maji hayo.

Unachotakiwa kufanya ni kupata maziwa mtindi ya asili kabisa yaani yale ya kutengenezwa nyumbani wewe mwenyewe na si yale ya viwandani.

Chukua vijiko viwili vidogo vya maziwa hayo kisha utaweka sehemu yako ya siri na kukaa nayo kwa dakika kadhaa kabla ya kunawa . sasa kama utahitaji kujua hatua inayofuata ya mwisho nipigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment